Maadhimisho ya Bethidai ya CCM Mwanza!

Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakaazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba

Rais Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano mapema asubuhi. (Picha zote na Ikulu))