Naibu Spika Ndugai ametumia kanuni vibaya-Mnyika

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika


*Tip za Mnyika bungeni

*ASUBUHI ya leo Naibu Spika Job Ndugai alitumia kanuni vibaya kuzuia hoja ya dharura bungeni kuhusu mgomo wa madaktari.
*Jioni ya leo bunge litajadili Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali na.2 wa mwaka 2011 ambao kwa sehemu kubwa ukiondoa sheria nyingine unahusu marekebisho ya kimsingi katika sheria ya bodi ya mikopo kwa kuingiza masuala ambayo tuliyapinga mwaka 2004.
Je, wataka kujua ufafanuzi juu ya taarifa hizi na changamoto anuai za Bunge, tafadhali tembelea: mnyika.blogspot.com