Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fisso akionesha Sheria namba 4 ya mwaka 1976 ya Utengenezaji wa Filamu na Michezo ya Kuigiza kwa waandishi wa habari ambao hawapo pichani wakati akitoa ufafanuzi wa kuhusu sheria hyo kwa vyombo vya vya habari leo jijini Dares Salaam. (Picha na Magreth Kinabo - Maelezo