Mkurugenzi wa Mausiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Teddy Mapunda (kushoto) akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa pili kulia), kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Mawasiliano ya Jamii SBL, Meneja wa Kinywaji cha Guinness, Mourice Njowoka na Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa SBL wakiwa kwenye hafla ya kukabidhi msaada wa flana za Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar jana.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd