TPB yawasaidia waathirika wa mafuriko Dar

*Yakabidhi vifaa vya shule pamoja na vyakula vyenye thamani ya mil.3

Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakiongozwa na Meneja Mahusiano wa Benki hiyo, Noves Moses (kushoto) wakikabidhi vifaa vya shule pamoja na vyakula mbalimbali kwa Mgavi Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Benjamin Babere. Msaada huo wenye thamani ya sh. milioni 3 ni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye makambi mbalimbali mjini Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakiongozwa na Meneja Mahusiano wa Benki hiyo, Noves Moses (kushoto) wakikabidhi vifaa vya shule pamoja na vyakula mbalimbali kwa Mgavi Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Benjamin Babere. Msaada huo wenye thamani ya sh. milioni 3 ni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye kambi mbalimbali jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakiongozwa na Meneja Mahusiano wa Benki hiyo, Noves Moses (kushoto) wakikabidhi sabuni pamoja na vyakula mbalimbali kwa Mgavi Mkuu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Benjamin Babere. Msaada huo wenye thamani ya sh. milioni 3 ni kwa ajili ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye makambi mbalimbali mjini Dar es Salaam. Hafla hiyo fupi ya makabidhiano ilifanyika kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.