Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) jana jijini Dar es Salaam mara baada ya mahafali ya tisa (9) ya Taasisi hiyo. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo (kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA Shah Hanzuruni (kulia)
Naibu Waziri wa Fedha, Pereira Ame Silima (katikati) akiwahotubia wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA). Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushari ya TIA Profesa Isaya Jairo (kushoto) na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TIA, Shah Hanzuruni (kulia)
Naibu Waziri wa Fedha, Pereira Ame Silima (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Shaban Kissu (kulia) jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizika kwa sherehe za mahafali ya tisa (9) ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA). (Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es Salaam)