JK AFANYA MAZUNGUMZO NA KOFI ANNAN

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na katibu mkuu wa zamani wa Umoja Wa Mataifa, Kofi Annan Ikulu jijini Dar Es Salaam.

Source: Michuzi Blog