Kwa mujibu wa katiba ya Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendleo ya Mtoto Tanzania, uchaguzi mkuu hufanyika kila baada ya miaka mitatu. Ni kidindi zaida ya miaka mitatu sasa tangu uchaguzi mkuu ufanyike na hii ni kutokana na ukosefu wa fedha ya kuitisha mkutano huu.
Mkutano huu umekuwa ni wa lazima pia kutokana na mabadiliko ya katiba ambayo yamelenga kupunguza mzigo wa mtandao katika gharama za vikao vya kikatiba vikiwemo vya kamati elekezi na mkutano mkuu. Kwa mantiki hiyo mkutano huu ulikuwa na lengo jingine moja la kuthibitisha mabadiliko ya katiba ili kuruhusu uchanguzi kuendelea.
Wajumbe waliochagulia ni kama ifwatavyo:-Bi Asha Ahmed – Mwenyekiti -kutoka ZAN ECD –Unguja Mjini Magharibi, Unguja, Bwana Mohamed Nkinde- Makamu Mwenyekiti- Kutoka MPDI – Arusha, Bwana Patrice Gwasma – Mjumbe– kutoka Community Support Initiatives Tanzania – Manyara, Bwana Souleman Saidi – Mjumbe- Kutoka ZMRC – kusini Pemba, Bwana Sylvester MgomaMjumbe-kutoka Rock Memorial Education Trust – Tanga, Bi Mary Kabati, Mjumbe-kutoka TAHEA Mwanza –Mwanza na Bwana Selemani IdirisaMjumbe-kutoka Kadosed – Kagera.
Wajumbe wa Kamati Elekezi
Wajumbe waliochagulia ni kama ifwatavyo:-Bwana Souleman Saidi – Mjumbe- Kutoka ZMRC – kusini Pemba, Bwana Selemani Idirisa -Mjumbe, Bwana Mohamed Nkinde- Makamu Mwenyekiti- Bi Asha Ahmed – Mwenyekiti, Bwana Patrice Gwasma – Mjumbe, Bwana Sylvester Mgoma -Mjumbe na Bi Mary Kabati, Mjumbe, wa Tatu kushoto ni bwana Arcard Rutajwaha Mratibu wa Mtandao