Rashid Matumla ajifua kumkabli Maneno Osward Dec 25

Bondia Rashid Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward litakalofanyika Desemba 25 Ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es Salaam

Rashid Matumla akiruka kamba katika Kambi yake ya mazoezi iliyopo Keko Dar es Salaam jana. (Picha zote na Super 'D' Boxing Coach)