Banda la Wizara ya Fedha ndania ya Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru


Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na taasisi zake wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao la Wizara ya Fedha na Taasisi zake katika Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendele katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere (Sabasaba).


Kutoka kushoto, Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Bedason A. Shallanda, Mchumi Mkuu Mwandamizi, Joseph Kiraiya, Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha Bi. Ingiahedi Mduma wakiwa na Mkurugenzi wa Rasilimari Watu Bi. Donesia R. Makani wakibadilishana mawazo katika Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendele Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere (Sabasaba).


Ofisa Elimu kwa Umma kutoka Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCA-T), Josephat Kanyunyu akitoa maelezo juu ya shughuli za mfuko huo kwa Wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendele Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere (Sabasaba).


Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta wa Wizara ya Fedha, Elimu Sekeni akifafanua jambo kuhusiana na mambo ya ulipaji wa Mishara ya Watumishi kwa mteja mmojawapo aliyefika katika banda la Wizara ya Fedha na Taasisi zake kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendele katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere (Sabasaba).