Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru


Rais Kikwete akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio hizo mwaka huu jijini Dar es Salaam jana.


Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru leo Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Walioketi toka kulia ni IGP Saidi Mwema, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange, Spika wa Bunge, Anne Makinda.


Viongozi wa wataopandisha mwenge wa Uhuru mlima kilimanjaro


Mama Maria Nyerere na Mama Salma Kikwete na wageni wengine mashuhuri jukwaa kuu.


Baadhi ya umati wa wananchi wakihudhuria hafla hiyo.


Hiki ndicho kikosi cha wataopandisha mwenge wa uhuru mlima Kilimanjaro.