Matukio katika picha uzinduzi Kiwanda cha SBL Moshi

[/caption]


Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa SBL, Richard Wells (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano, Teddy Mapunda (kulia) walipokuwa wakimsubiri mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuzindua kiwanda cha kampuni hiyo juzi.


Baadhi ya wamiliki wa Blogs wakisubiri kupata matukio kwenye hafla ya uzinduzi huo.


Baadhi ya viongozi wa juu wa SBL wakiwa wamejipanga kumpokea mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda muda mfupi kabla ya kuwasili kiwandani hapo.


Mmoja wa Mawaziri wa Kenya aliyewasili kushiriki katika uzinduzi huo akisalimiana na baadhi ya viongozi waandamizi wa SBL.


Waziri Pinda akiwasili kufanya uzinduzi wa Kiwanda hicho.


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Phraim Mafuru (kulia) alipowasili kiwanda cha SBL kukizindua.


Waziri Mukuu, Mizengo Pinda akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Breweries juzi mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro.



Baadhi ya wageni wakiwa meza kuu

Kikundi cha ngoma ya asili mkoani Kilimanjaro kikitumbuiza kwenye hafla hiyo.



Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha SBL, Richard Wells, akizungumza jukwaa kuu


Waziri Pinda kulia akipewa zawadi ya bia ya Serengeti


caption id=”attachment_10407″ align=”aligncenter” width=”336″ caption=”Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anapanda mti wa ukumbusho baada ya kungungua kiwanda hicho.”][/caption]

Picha ya pamoja na viongozi wa Juu wa Kampuni ya SBL


Wazee wa Kimila kutoka kabila la wachaga wakipanda mti aina ya sale ambao ni maalumu kwa kimila na matambiko mkoa huo.