Waongoza mada wakipokea maoni ya wanaharakati, wananchi na wadau anuai wa maendeleo katika Kongamano la Kupinga Ukatili wa Kijinsia na Utoaji wa Maoni juu ya uundwaji wa Katiba Mpya jana jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa waongoza mada kutoka meza kuu ya Kongamano la Kupinga Ukatili wa Kijinsia akijibu maswali ya wananchi na wanaharakati mbalimbali katika mkutano huo jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mijadala mbalimbali iliyokuwa ikitolewa.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia mada anuai.
Mmoja wa washiriki akichangia mada.