WACHEZAJI wawili wa Kitanzania, Joseph Kaniki (Golota) na William John wamefanikiwa kujiunga na timu ya Ligi Daraja la Pili KonyaSpor (KIF) nchini Sweden, baada ya kufanikiwa kupita katika majaribio(Trials).
Kwa mujibu wa taarifa zaidi zinasema majaribio hayo yalijumuisha wachezaji zaidi ya 30 ambapo wachezaji watano walichaguliwa kujiunga na klabu hiyo ya Ligi Daraja la Pili, KonyaSpor (KIF).
Habari hii imeletwa kwenu na:http://www.africa4life.com/