
Mshereheshaji wa hafla ya Tuzo kwa Asasi za Kiraia zilizofanya vizuri zaidi, zilizoandaliwa na Asasi ya Kiraia Nchini akizungumza na washiriki jana usiku Dar es Salaam.

Mwakilishi wa mgeni rasmi katika hafla hiyo Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Na Watoto, Ummy Ally Mwalimu (wa kwanza kushoto), akifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo.