Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atembelea TCAA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani

Meneja wa Kituo cha TCAA, Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Bw. John Chambo akimwonyesha Naibu Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani( kushoto), ramani inayoonyesha njia za ndege, wakati alipotembelea ofisni hapo.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (kulia), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leornard  Chamuriho, kabla ya ufunguzi wa mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akitoa hotuba yake katika mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).

Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, akiwasilisha mada kwenye mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.