
Mshindi wa kwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli ya Rift Valley Odyssey Sophia Husseni ya liyofanyika jijini Arusha DEC Jijini Arusha.
Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya Rift Valley Odyssey ya liyofanyika jijini arusha DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza (kulia) na Sophia Adson wa (pili) kutoka kulia wakiwa na Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine wa pili kutoka kulia yaliyo fanyika Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115. Masindano ambayo yanawapa ushindi timu ya Warriors ambao wametumia masaa matano na dakika 28.
Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine akizungumza na washiriki wa shindano hilo.
Mshindi wakwanza wa mashindano ya kuendesha baiskeli ya Rift Valley Odyssey Sophia Husseni