Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana akizungumza kabla ya kuzinduwa rasmi kongamano.
Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem akizungumza kwenye kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuzinduliwa kwa kongamano hilo katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meza Kuu katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana, Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa idadi ya watu (UNFPA), Dk. Natalia Kanem, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sihaba Nkinga na Ofisa Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Zambia, Elizabeth Phiri wakiwa katika kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.

Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo.
Mwakilishi wa Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi akizungumza na washiriki wa kongamano hilo.
Baadhi ya vikundi vya maigizo vikiigiza katika kongamano la kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada na majadiliano anuai katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.