Mama Samia Atuwa Mkoani Ruvuma, Ainadi Ilani ya CCM Majimbo Mawili

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akiwasili katika uwanja wa ndege wa Ruvuma leo kabla ya kuanza ziara ya mikutano ya kampeni kunadi ilani ya chama hicho mkoani hapo.

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya Siasa CCM Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambugu (kulia) alipowasili katika uwanja wa ndege wa Ruvuma leo kabla ya kuanza ziara ya mikutano ya kampeni kunadi ilani ya chama hicho mkoani hapo.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akivishwa skafu na vijana wa UCVVM mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili mkoani hapo.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akisalimiana na baadhi ya viongozi na WanaCCM waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa Ruvuma.

Baadhi ya wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu mara baada ya kuwasili Kijiji cha Kingerikiti Wilayani Nyasa ambapo alifanya mkutano wa hadhara.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na WanaCCM na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea Ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi, Injinia Stella Manyanya katika mkutano wa hadhara Mkoani Ruvuma.
Baadhi ya wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu mara baada ya kuwasili Kijiji cha Kingerikiti Wilayani Nyasa ambapo alifanya mkutano wa hadhara.
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (kushoto) akiwatambulisha wagombea udiwani kwa tiketi ya CCM Jimbo la Nyasa, Wilaya ya Nyasa 
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa.
Sehemu ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa.
Sehemu ya WanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM uliofanyika Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.

Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na WanaCCM na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.
Sehemu ya wajumbe wa kampeni kitaifa pamoja na viongozi wa CCM ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni Kijiji cha Tingi.