
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini aziz Abood Pamoja na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini wakiwaasa wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini Kumchagua MH John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Wakazi wa Jimbo la Morogoro Mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa Kmpeni za Ubenge na Madiwani wa Jimbo hilo