Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha, akiwasalimia wanachama kwa Salam ya chama hicho
Elisha, akiwasalimia wanachama kwa Salam ya chama hicho
Kikundi cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo
Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango yenye Ujumbe tofauti wakiingia Ukumbini
Wanakikundi wa kasimbo Asili, toka Mkoa wa Kigoma Kijiji cha Nyarubanda Kataa ya Mkigo Wilaya ya Kigoma wakitoa salam ya Chama hicho wakiwa wanajiandaa kuingia kwa Nyimbo za Ali ya Mkoa wao katika Mkutano wa Uzinduzi wa Mkutano wa Alliance for change and Transparecy (ACT)
Baadhi ya Wafuasi wa Chama hicho wakiingia Ukumbini
Msanii Afande Sele akiwa na wanachama wa Alliance for change and Transparecy (ACT) katika Picha ya pamoja kwenye Uzinduzi wa Chama hicho
Baadhi ya wajumbe na Viongozi wa Chama hicho wakimsikiliza Zitto Kabwe alipo kua akizindua Mkutano wa Chama hicho(wa tatu kushoto) ni Baba wa Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.,
Msanii wa Makomando Said Christopher akisalimia Viongozi alipopanda juukwaani na mwenzake
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha akisalimiana na
Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe mara alipo maliza kuzungumza na wafuasi wa chama hicho
Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) Anaa
Elisha akisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Kigoma Angilikana Gerald Mpango baada ya kuzungumza na Wanachama
Afande Sele akiwa Jukwaani akitumbuiza
Wasanii wa Kikundi cha Makomando wakitoa Burudani, kulia ni fred felix na Said Christopher
Wafuasi wa chama hicho wakijiandikisha na kupatakadi ya Uanacha
Mamia wajitokeza Uzinduzi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zitto Kabwe akisoma Fomu ya Chama hicho inayomtaka kila mwanacha Ngazi ya juu atangaze Mali zake
Kasimbo Asilia ikitoa Burudani katika Mkutano wa chama cha Alliance for change and Transparecy (ACT) katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo mara baada ya chama hicho kufanya Uzinduzi
Kasimbo Asili ni Kikundi cha Usambere kutoka Mkoa wa Kigoma katika kijiji cha Nyarubanda Kataa ya Mkigo Wilaya ya Kigoma ikitoa burudani, pichani ukiona wakiruka na kupokezana kwa katika kucheza.
Wanachama Mbalimbali wakifatilia kwa makini katika Mkutano wa Uzinduzi wa chama hicho Dar es Salaam leo katika Ukumbi wa Alliance for change and Transparecy (ACT)
Vikundi mbalimbali Vikitoa maigizo katika Uzinduzi wa Chama hicho
Wanachama wakijipanga wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee
Wanachama wakijipanga mikono wakati Viongozi wa Chama hicho Kitaifa wakitarajia kuingia katika Ukumbi wa Diamondi Jubilee na baadhi ya wanachama wakipunga mikono kwa kuonyesha alama ya chama chao
(kulia) akiwapungia mikono wanachama alipokua akiingia katika
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo (kushoto) ni Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es Sallam leo (kushoto) ni Kiongizi MKuu
wa chama hicho na akiliyekua Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zitto Kabwe.
Ulipoimbwa wimbo wa Mungu Ibariki.
Wanachama wakiimba Wimbo wa Taifa
.Katibu Mkuu ACT Tanzania Samson Mwigamba akizungumza na wanachama alipokua akifafanua jambo (PICHA NA
KHAMISI MUSSA)
KHAMISI MUSSA)
TEMBELEA UJIJIRAHAA BLOG