Lile tamasha kubwa la tamaduni za kiafrika litafanyika tena jijini Wurzburg, nchini Ujerumani kuanzia May 30 – June 2, 2013.
Haya ndugu zangu, mnaotaka kuudhuria andaeni ticket kabisa, ili mkajumuike na mkongwe wa muziki, Manu Dibango, na wengine wengi.
Chanzo: www.africafestival.org