![askari wakiulinda mwenge](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/askari-wakiulinda-mwenge.jpg)
Askari kutoka Jeshi la Polisi wakiimarisha ulinzi wakati wa sherehe za mapokezi ya Mwenge wa Uhuru leo jijini Dar es Salaam.
![mkuu wa mkoa wa Dar akipokea mwenge](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/mkuu-wa-mkoa-wa-Dar-akipokea-mwenge.jpg)
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salam Saidi Meck Sadik (kulia) akipokea mwenge wa Uhuru kutoka kwa mmoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bi. Tatu Saidi Mussa leo jijini Dar es Salaam . Mwenge wa Uhuru umewasili jijini Dar es Salaam ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba